Posts

Showing posts from April, 2019

Mfahamu Brian Deacon, Muigizaji wa filamu ya Yesu aliyeishi maisha ya kipagani na baadae kuokoka

Image
Muigizaji wa filamu, Brian Deacon ambaye ndiye aliyeigiza filamu ya Yesu (Jesus) alizaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao, baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni Nesi. Brian alipita kwenye mchujo mkali wa waigizaji zaidi ya 1000 ambao walifanyiwa mahojiano huku 260 wakijaribishwa kuigiza (screen test) kuona kwamba wanafaa, ambapo yeye akiwa ni mwingereza pekee kati ya waigizaji Waisrael walioingia kwenye usaili huo akiwa chini ya kampuni iitwayo New shakespears ambako alikuwa akifanya sanaa za majukwaani na uigizaji. Akihojiwa na BBC, Brian amesema kabla ya kuchaguliwa mtihani wake wa kwanza ulikuwa kutoka kwa wakala wake aliyemvunja moyo kwa kumweleza kuwa kama ataweza kuigiza kama Yesu. Hata hivyo, baadae alifanikiwa na baada ya hapo akawa na wakati mgumu kutoka kwa watu ambao kila mmoja alikuwa anajaribu kumweleza jinsi anavyotakiwa kuigiza sauti yake na mambo mengine, ingawa yeye alisema atatumia sau...

Sifa za Mahusiano ya Kudumu Katika Mapenzi

Image
Kikubwa kinachotafutwa na wapendanao huwa ni furaha ya moyo. Wapendanao wanapaswa kuishi kwa furaha, amani na upendo. Uhusiano wao uwe sehemu ya kudumisha urafiki, udugu na kwa pamoja muweze kuishi vizuri. Wapendanao wanatengeneza umoja wao ambao ni wa kutiana moyo pale mambo yanapokuwa si mazuri. Wakati wa matatizo na wakati wa furaha wanakuwa pamoja, wanategemeana katika kuifanya safari yao ya hapa duniani iweze kutimia sawasawa na mpango wa Mungu. Kwa kuzingatia hilo, kila mmoja anapaswa kuwa furaha ya mwenzake. Anapaswa kumtendea mambo mazuri ili aweze kuwa na furaha na amani muda wote. Mwanaume anapaswa kushughulikia amani na furaha ya mwanamke wake, vivyo hivyo mwanamke ashughulikie furaha na amani ya mwanaume wake. Kuna vitu ambavyo mara nyingi huwa tunaviona ni vidogo lakini kimsingi huwa vina maana kubwa sana katika suala zima la uhusiano wa kimapenzi kwa mchumba au hata hatua ya ndoa. Vitu hivyo ni pamoja na: Mitoko ya hapa na pale. Mara nyingi wapendanao huwa wanajisahau ...

Usiiamini Sana Simu yako ya Smart Phone Ipo siku Utakuumbua tu

Image
NAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy. bhasi kwakuwa najua kuna vimchepuko nachat navyo sana si nikafuta uchafu wote nikawa kidume najiamini kifua mbele Leo nimemimit na bibie akachukua cm kama kawaida ya wanawake wanachokitafutaga huwa wanakipata, leo ilikua siku yake ya kukipata anachokitafuta. Hta haikuchukua zaid ya dk3 naona bibie kabadilika sura tyr, ile kurudsha sim naona chats zote za mchepuko hata sikuamini, alichofanya akanambia nashukuru amelegea htr zile chats ni htr kwa afya wakuu emesepa zake nmejarib mwomba wapi. Ujinga nlofanya siku delete kumbe nili archive chat kwa iphone user wanajua wkt wa kufuta chat kuna option 2 huwa znakuja sasa me siku delete nka archive bila kujua Nmemwacha asepe ntamchek ksho morning atakuw katulia nawaza sound za kumpa hapa nampenda sana jaman huyu bibie ndo wife material wangu. Huyu bibie kajitoa sana k...

Happy birthday

Image

Utani wa Primary

Image

Kabla Hujanioa

Image

Meseji tamu kwa ajili ya Mpenzi wako

Image

ZILIPENDWA

Image

PICHA ZA VICHEKESHO

Image

PICHA ZA VICHEKESHO

Image

PICHA ZA VICHEKESHO

Image

Wanyakyusa bana

Image

Mambo ya kulala mchana

Image

Isidingo

Image

Kulala Muda mrefu

Image

Shule za Nursery

Image

Kanuni muhimu za kuishi maisha marefu katika ndoa

Image
Ndoa ni baraka hivyo ukipata shukuru, huu ni usemi ambao uliwahi kuibwa na msanii fulani hapa tanzania. Hakika nami naungana hoja yake pasipo kupinga kweli ndoa ni baraka kutoka Mwenyezi Mungu, hivyo unatakiwa kujua kanuni zitakazokusaidia kuishi maisha marefu katika ndoa yenu mpaka pale kifo kitakapowatenganisha. Zifuatazo ndizo kanuni muhimu za kuishi maisha marefu katika ndoa; Uhalisia wa maisha Jambo la msingi ambalo unatakiwa kuelewa ili kuweza kuishi maisha marefu na yenye baraka katika ndoa basi hutakiwi kuishi maisha ya kuigiza tena, bali unatakiwa kuishi yenye uhalisia, uwongo hauna nafasi tena, kwani ukisema bado unaishi kwa kumdabganya mwenza wako basi jua fika mahusoano yako hayatadumu. Hivyo kila wakati acha mara moja uwongo usikuwa na msaada wowote katika maisha yako katika ndoa. Upendo wa dhati. Kila mmoja wetu anahitaji kupendwa katika ulimwengu wa kimahusiano, hivyo kila wakati hakikisha unajitoa kwa dhati kumpenda yule umpendaye. Upendo wa dhati ndiyo utakufan...

Hizi ndio sehemu 10 zenye msisimko mkali zaidi kwenye mwili wa mwanamke

Image
Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo hilo. Mazoea ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda mrefu hufanya tendo hilo la ndoa lianze kua baya na huenda ikawa chanzo  cha mtu kuchepuka kutafuta ladha zingine. Kitaalamu katika sayansi ya binadamu kuna maeneo kadhaa ambayo wanawake wote wakiguswa hupata msisimko mkali lakini msisimko hutafautiana kutokana na mwanamke husika kama ifuatavyo. 1. Kichwani;  juu ya kichwa cha binadamu kuna mishipa mingi ya damu na ile ya fahamu hivyo maeneo haya yakishikwa homoni kama oxytocin na serotoinin huachiwa mwilini na kuleta msisimko mkubwa. Jinsi ya kufanya;  mshike kwanzia nyuma ya sikio kisha ingiza vidole katikati ya nywele kama unamkuna kichwa bila kutumia nguvu. 2. Sikio;  sikio...

Mambo yatakayokusaidia kudumu katika mahusiano ya kimapenzi

Image
kikubwa kinachotafutwa na wapendanao huwa ni furaha ya moyo. Wapendanao wanapaswa kuishi kwa furaha, amani na upendo. Uhusiano wao uwe sehemu ya kudumisha urafiki, udugu na kwa pamoja muweze kuishi vizuri. Wapendanao wanatengeneza umoja wao ambao ni wa kutiana moyo pale mambo yanapokuwa si mazuri. Wakati wa matatizo na wakati wa furaha wanakuwa pamoja, wanategemeana katika kuifanya safari yao ya hapa duniani iweze kutimia sawasawa na mpango wa Mungu. Kwa kuzingatia hilo, kila mmoja anapaswa kuwa furaha ya mwenzake. Anapaswa kumtendea mambo mazuri ili aweze kuwa na furaha na amani muda wote. Mwanaume anapaswa kushughulikia amani na furaha ya mwanamke wake, vivyo hivyo mwanamke ashughulikie furaha na amani ya mwanaume wake. Kuna vitu ambavyo mara nyingi huwa tunaviona ni vidogo lakini kimsingi huwa vina maana kubwa sana katika suala zima la uhusiano wa kimapenzi kwa mchumba au hata hatua ya ndoa. Vitu hivyo ni pamoja na: Mitoko ya hapa na pale. Mara nyingi wapendanao huwa wanajisa...

Kukumbatiana ni njia nzuri sana ya kumaliza migogoro katika mahusiano

Image
Kuna siku fulani nilipata wasaa mzuri wa kusoma kitabu fulani hivi cha saikolojia, katika kitabu hicho yapo mambo mengi sana ambayo yameandikwa hususani tabia za mwanadamu kiujumla. Moja kati ya vitu ambavyo vilinishangaza ni pamoja ya kwamba mgusano wa mtu mmoja na mwingine ni dawa tosha kwa watu wenye tofauti. Nilipokuwa nikiendela kusoma kitabu hicho nikaleta fikra zangu katika maisha ya kawaida nikaja nikagundua ya kwamba watu wengi wakikosana katika jamii zetu watu ambao wakitokea kwa lengo la kuwapatanisha basi huwa uwamuliwa watu hao wapeane mikono ikiwa ni ishara ya wazi kwamba kila mmoja moyo wake ni safi na hauna kinyongo na mtu  mwingine. Nikaendelea kusoma kitabu hicho ambapo tena nikakutana na faida kadha wa kadha la kumbatio katika mahusiano hasa pale inapotokea watu fulani wamekwazana katika mahusiano ya kimapenzi.  Ambapo nilikuja kugunundua ya kwamba kukumbatiana katika mahusiano ya kimapenzi inaweza kuwa ni njia nzuri sana ya kumaliza tofauti za wapendan...

Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

Image
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake. Jamaa anamkimbia na kwenda kuanzisha uhusiano mwingine. Baada ya kukimbiwa, mwanamke hakati tamaa. Anaanzisha uhusiano mwingine, ndani ya muda mfupi tu, anaambulia maumivu tena. Anabaki kujilaumu. Hajui chanzo cha yeye kukimbiwa. Matokeo ya hili, mwanamke anapoteza uelekeo. Kila mwanaume anayekutana naye anamkimbia. Mwisho wa siku anajikuta umri umeenda. Kuolewa inakuwa ni ndoto. Anaanza kulazimisha kusaka mtoto ili angalau na yeye aitwe mama. Wanaume wengi hujikuta wakiwaacha wapenzi wao kwa sababu ya tabia fulani ambazo wakati mwingine huanza taratibu na baadaye huwa kikwazo kikubwa. Ili kuweza kuepukana na tatizo hili ni vyema tukaangalia vitu ambavyo wanaume wamekuwa hawavipendi kutoka...

Hizi Ndizo Tabia za Mwanamme Zinazosababisha Ndoa au Mahusiano Kudumu

Image
Katika zama hizi kutafuta mwanaume sahihi wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu kama ilivyo kwa ngamia kupita katika tundu la sindano hasa katika kizazi hiki cha kisasa. Kuna mambo machache ambayo mwanaume akiwa anayafanya kwa mwanamke wake kunaweza kumfanya awe mwanaume sahihi kwa wakati huo; hii ikiwa na maana kwamba hata mwanamke akiambiwa habari za kufunga pingu za maisha na mwanaume huyu hatakuwa na sababu ya kubisha. Hapa chini tumekukusanyia orodha ya tabia ambazo wanawake wengi wanasema kwamba, mwanaume akiwa nazo basi mwanamke hatasita kuwa nae kwenye mahusiano: 1. Matendo yake ni sawa na anachokiongea Mwanaume anaweza akakuambia anakupenda asubuhi mpaka jioni. Akakwambia maneno yote matamu unayotaka kusikia, lakini swali Je? Ni kweli anakupenda? Lazima uangalie matendo yake, kwa maana matendo pekee ndio yatakufanya uamini asilimia zote kama kweli anakupenda, na kama unaona matendo na maneno yasemwayo yako sawa basi mwanaume huyo ni wako. 2. Huangalia mapungufu yako...

Cheka na Vituko hivi vya Uswahilini.. Hawana Ubongo mzuri

Image

Utacheka: Vibe la Pierre, Mzee wa Likwidii alivyokata keki na kucheza

Image

SHANGWE ALILOPIGIWA PIERRE BUNGENI LEO, SPIKA NAYE KAPIGA YAKE

Image

Yajue mambo ambayo humpa furaha mpenzi wako

Image
Uhusiano maridhawa katika ndoa ni kitu kinachohitaji kujituma kwa bidii kubwa. Ni kitu kinachohitaji subira, uelewa na upendo kwa pande zote mbili. Wakati unapenda kumfanya mwenzio kuwa mwenye furaha, kuna mambo kadhaa unayoweza kuyafanya kuhakikisha nawe unapata furaha. Ukweli kama hutofanya mambo haya matano, hutokuwa na zana sahihi zinazokupa furaha katika maisha ya ndoa yako: 1. Kumuamini. Imani ni ufunguo wa furaha katika maisha ya ndoa. Usipomuamini mwenza wako utaendelea kukosa utulivu na kuwaza kuwa yuko wapi, yuko na nani au anafanya nini. Stress na mashaka utakayoyapata kutokana na wasiwasi na hisia za kuhisi kile anachofanya vitakuondolea furaha  yako. Ili uwe na furaha unatakiwa kuwa na imani, kumuamini. Imani inaweza kuchukua muda mrefu kuijenga, lakini ni kitu nyeti sana. Hakikisha unamweleza mwenzako wasiwasi wako pindi jambo fulani linapokuwa haliko sawa. Inaweza ikawa ni kutoelewa tu, lakini ukiiruhusu shaka ishike hatamu, inaweza kugeuka kuwa tatizo kubwa za...

Mambo muhimu ya kuzingatia ili uwe kiongozi mzuri kazini

Image
Kuwa kiongozi bora kazini inatakiwa kujifunza. Kuwa kiongozi kazini huwa haitokei kama ajali bali mtu husika anatakiwa kujifunza namna ambavyo anatakiwa kuwa hivyo. Hivi hujawahi ona umeajiriwa sehemu fulani lakini miaka nenda mika rudi hujawa kuwa kiongozi hapo ofisini hata siku moja? Unafikiri ni wapi ambapo huwa unakosea? Kama hujawahi kufikiri ni wapi ambapo uwa unakosea basi naomba nikupe mbinu hizi ambazo zitakusaidia kwa namna moja ma nyingine ili uweze kuwa na wewe ni kiongozi siku moja hapo ofisini kwako kwa kuzingatia mambo yafuatayo: Unatakiwa kujifunza kutoa maamuzi. Miongoni mwa mambo yatakayokusaidia kuwa kiongozi bora katika kampuni ni pamoja na kuwa na uwezo wa kutoa maamuzi, na si maamuzi tu bali na maamuzi mazito yaliyojawa na mtazamano chanya wa kuinuia au kuijenga ofisi yako. Watu wengi wamekuwa wakichemka sana katika hili, yaani unakuta mtu fulani kafanya kosa fulani kazini ila anashindwa kumuwajibisha mtu huyo, jambo hili ndilo tunaloita kukosa mtazamo na m...

Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuanza kufanya biashara

Image
Watu wengi wanaoingia kwenye biashara huwa wanakuwa na matumaini makubwa sana ya kufanikiwa kupitia biashara hiyo. Matumaini haya huwa yanatokana na kuona wengine wanafanya biashara ile wakiwa wanafanikiwa. Mara nyingine matumaini haya hutokana na kuona kuna watu wanaohitaji kile unachopanga kutoa. Mara nyingi watu wanapoingia kwenye biashara hujikuta wakiona matumaini yale hayawezekani tena. Hii inatokana na kukutana na uhalisia wa kibiashara tofauti na kile walichokuwa wanafikiria kabla ya kuingia. Na mara nyingi matumaini haya hufa kutokana na soko la biashara kutokuwa la uhakika. Kama wewe upo kwenye biashara, au una mpango wa kuingia kwenye biashara, hapa kuna maswali muhimu sana ya kujiuliza kuhusu soko la biashara yako. Kumbuka kwamba bila ya mteja wewe huna biashara, hivyo unavyojua zaidi kuhusu wateja wako ndivyo unavyoijua zaidi biashara yako. Yafutayo ndiyo maswali ya kujiuliza wakati wa kuingia kufanya biashara: Je biashara ninayotaka kufanya ina wateja? Hili ni swal...

Fahamu kiundani zaidi kuhusu fursa za mafanikio

Image
Katika maisha yetu ya kila siku neno fursa si geni sana masikioni mwetu. Neno hili watu wengi hulichukulia kama la kawaida sana lakini kiukweli kama utaweza kujua maana yake na kufanyia kazi lazima utaona mabadiliko makubwa katika maisha yako. Fursa nyingi hapa duniani zinakuwa haziko wazi au kwa maneno mengine zinakuwa zimejificha sana. Leo hii nataka nikushirikishe njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuona fursa mbalimbali katika eneo lako. Tambua fursa ikoje Ili uweze kuona fursa katika maisha lazima ujue kwanza fursa ni nini na inafananaje. Kwa mfano unaweza ukawa unatafuta kitu fulani lakini kwenye akili yako lazima ujenge picha ya kile kitu unachokitaka. Kwa kufanya hivi inakuwa rahisi kwa mtu kujua ni nini hasa anakitaka na atumie mbinu gani na muda gani ili aweze kufanikisha. Kuwa na njia mbalimbali  za kukamilisha malengo. Kuna msemo usemao usiweke mayai yote kwenye kapu moja. Kama unataka kuwa na fursa nyingi ,anza kufanya vitu vidogovidogo vingi na angalia ni kipi ki...

Rafiki yako Ukimuomba akutumie picha zakee

Image

Akuoe au uende Jela Miaka 20

Image

Simbaaaaaaaaa Wakimataifaa

Image

Kutiko cha Bongo Muviii

Image

Kusimama Nyumaaaa

Image